Sheria ni msumeno wahenga walinena,hatimaye aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Tanesco Bwana Willium Mhando afikishwa mahakamni kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka akiwa mkurugenzi mkuu wa Tanesco.Anatuhumiwa kwa kula rushwa za mamilioni ya fedha katika kutoa zabuni kubwa. Katika kesi hiyo yupo pia mkewe,wahasibu wawili na Ofisa ugavi mmoja.
0 comments:
Post a Comment