Jeneza lililobeba mwili wa Balozi Issac Abraham Sepetu likielekea makaburni
huko kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja.
Jeneza la Balozi Issac Abraham Sepetu likishushwa kaburini
Viongozi mbalimbali wa Serikali walikuwepo katika mazishi hayo kutoka kushoto Seif Sharifu Hamadi Makamu wa rais Zanzibar,Dr.Bilal Makamu wa Rais Tanzania Bara na Rais wa Zanzibar Dr.Mohamed Shain.
0 comments:
Post a Comment