Sunday, February 24, 2013

HUU NI MWONEKANO WA NJE WA UKUMBI MAARUFU JIJI DAR ES SALAAM UJULIKANAO KAMA DAR LIVE ULIOPO MBAGALA RANGI TATU.


Huu ndio ukumbi maarufu wa shughuli mbalimbali za starehe jiji Dar es Salaam maeneo ya Mbagala Rangi Tatu -Dar Live kama unavyoonekana kwa nje,tunawapongeza kwa dhati wajasiriamali hawa waliobuni wazo hili la kuwekeza katika burudani,maana kupitia ukumbi huu Shoo Nyingi za wasanii wetu zimekuwa zikifanyika hapa kila mwisho wa wiki,hivypo kuwaingizia kipato wasanii wetu wa sasa na hata wale wa zamani wameweza kupata nafasi za kufanya show zao katika ukumbi huu.
Hongereni sana kwa wazo hili la ubunifu.

0 comments:

Post a Comment