Rais Obama na rais Putin wakiwa katika mazungumzo mazito kuhusu mgogoro wa Syria,mgogoro ambao Urusi wanaisaidia Serikali ya Syria na Marekani wanajipanga kuwasaidia wahasi wa Syria.Hapa ndio Dunia inapochanganyikiwa na maamuzi ya mataifa haya makubwa.
0 comments:
Post a Comment