Monday, June 24, 2013

HATIMAYE BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LINATARAJIA KUPITISHA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2013/2014 LEO MCHANA BAJETI ILIYOWASILISHWA BUNGENI NA WAZIRI WA FEDHA DK.WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA.


Bunge la Tanzania linatarajia kupitisha Bajeti ya Serikali ya Tanzania kwa mwaka 2013/2014 leo mchana.Tunategemea bajeti hii itakuwa na maboresho muhimu baada ya kuchangiwa na wabunge  mbalimbali ili bajeti hii iweze kuleta tija kwa Taifa letu.

0 comments:

Post a Comment