Abiria wa basi la Ottawa wakiwa wameharibikiwa na gari hilo maeneo ya Chalinze siku ya tarehe 26 June,2013 saa 2:30 asubuhi wakitokea Dar kwenda Songea.Hata hivyo waliendelea na safari yao baada ya basi lao kutengenezwa na kupona majira ya saa 05:45.
0 comments:
Post a Comment