Friday, February 1, 2013

JIJI LA DAR ES SALAAM NA KARAA ZA MVUA

 
Msimu wa mvua umeanza na Jiji la Dar es Salaam ndio kumekucha maana mvua na Jiji la Dar es Salaam ni kero tupu.Hapa anaonekana mkazi wa Jiji akijaribu kukimbia  mvua na kwenda  kujificha katika kituo cha Mafuta cha TSN maeneo ya Bamaga-Mwenge jirani na Ofisi za Star Times.

0 comments:

Post a Comment