Magari ya ujenzi ya Kampuni ya Strabag yakiendelea na shughuli za ujenzi katika maeneo ya Urafiki.Kampuni hii ndiyo inayotengeneza barabara ya Morogoro maalumu kwa mradi wa mabasi yaendayo kasi.
Mradi huu utakapo kamilika unakusudia kutatua tatizo la tatizo la foleni ya magari inayolikumba Jiji hilila Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment