Abiria wakisubiri usafiri wa daladala asubuhi katika eneo la kituo cha TBC maeneo ya Bamaga,hali ya usafiri kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam bado haijatengemaa, na wakazi wa jiji hili wamekuwa wakihangaika kila siku asubuhi na jioni katika kupata huduma ya usafiri.
Katika siku zijazo msimu wa masika utakapo kuja abiria hawa watakumbana na changamoto ya mahali pa kujistili na mvua wakati wakisubiri usafiri maana kituo hiki hakina sehemu iliyojengwa ili kumstili abiria wakati wa mvua au jua.
Tunaomba Mamlaka husika iliangalie hili bado na mapema,wahenga walisema tahahadhari kabla ya hatari.(Namaliza hivi kwako- habari za saa hizi)
0 comments:
Post a Comment