Kifo cha Rais wa kwanza Mwafrika katika nchi ya Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela kilichotokea tarehe 05/12/2013 kimeonesha pengo kubwa kwa nchi za Afrika.Yeye ndio kiongozi pekee wa mfano wa kuigwa barani Afrika na dunia kwa ujumla. Ni kiongozi pekee ambaye amechaguliwa kidemokrasia na kuachia madaraka kwa wengine kidemokrasia bila ya kung'ang'ania madaraka kama ilivyo kwa viongozi wengine Afrika na duniani kote.Mazishi yake yatafanyika tarehe 15/12/2013 kijijini kwao. Buriani Mwana wa Afrika pumzika kwa amani.
0 comments:
Post a Comment