Tanzania leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 14 ya kifo cha baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere.Kumbukumbu hii hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 14 October tarehe ambayo alifariki Dunia huko nchini Uingereza.Muasisi huyu wa Taifa letu alijenga misingi imara ya kuijenga Tanzania.Hivyo inatupasa kumuenzi kwa kufuata yale yote mazuri aliyotuachia.Kukataa rushwa,kupinga ukabila,kuwa na moyo wa uzalendo kwa Taifa letu na kuwa na uchumi utakaotuwezesha kujitegemea.
0 comments:
Post a Comment