Hili ni bango lililowekwa na mkandarasi wa wa ujenzi wa barabara ya Tabata maeneo ya Riwiti ikionesha magari yanatakiwa kuchepuka kupisha ujenzi wa upanuzi wa barabara hii,kufanyiwa matengenezo kwa barabara hii kutasaidia kupunguza foleni kwa wakazi wa Tabata na Kinyerezi maana barabara hii ilikuwa ni nyembamba sana .
0 comments:
Post a Comment