Saturday, July 20, 2013

HUU NDIO UTAMU WA GARI PALE LINAPOKUZINGUA.

Dada huyu alikutwa na masaibu ya pancha asubuhi asubuhi pale alipokuwa na mipango ya kuwahi kazini mapema kama alivyokutwa na mpiga picha wetu maeneo ya Sayansi Kijitonyama-karibu na ofisi ya Posta Kijitonyama.Hapa dada huyu akisaidiwa na kijana wa bodaboda kubadilisha taili.Huu ndio umuhimu wa kuwa na taili la spea.

0 comments:

Post a Comment