Abiria na wachuuzi wa biashara za matunda katika kituo cha mabasi cha Muheza cha zamani. Kituo hiki kwa sasa kimefungwa kwa ajili ya ujenzi wa kukiboresha na kukifanya kuwa cha kisasa kabisa. Tunaipongeza mamlaka husika kwa uamuzi waliochukua ni uamuzi wa busara na wakimaendeleo kwa wananchi wa Muheza na Watanzania kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment