Kijana huyu nguvu kazi ya Taifa akiwa anauza maji maeneo ya Soko la Feri Jijini Dar es Salaam kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.Hakika hapa bado Serikali haijaweza kumtumia kijana huyu katika rasilimali watu kwa kuongeza pato la Taifa.Maana kipato anachoingiza kwa siku hakilingani na kazi anayofanya.Kuna kila sababu ya kuwa na sera nzuri ambayo itawafanya vijana wote wawe na programu maalum inayowafanya waingie katika shughuli za uzalishaji mali badala ya kuwaacha kuwa wachuuzi wa biashara ndogo ndogo za mikononi.
Je,wewe Mtanzania mwenzangu una maoni gani?
0 comments:
Post a Comment