Tuesday, October 8, 2013

MAMLAKA HUSIKA MTUONDOLEE KERO HII YA KITUO CHA BASI HAPA MWENGE KUGEUKA SOKO

Wachuuzi wa nguo za mitumba na viatu wakifanya biashara maeneo ya stendi eneo ambalo mabasi hupakia na kushusha abiria.Hali hii imekuwa kero na mamlaka husika haichukui hatua zozote
kudhibiti hali hii.Hasa nyakati za jioni.
 
Mteja wa viatu vya mitumba akielekea kuchagua viatu kwa wamachinga waliovimwaga eneo la kituo cha mabasi Mwenge.
 

0 comments:

Post a Comment