Mshambuliaji wa Azam FC Kipre Tchetche akipambana na mchezaji wa Simba FC Issa Rashid "Baba Ubaya"
Hatimaye timu ya Azam FC imefanikiwa kuchukua uongozi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuifunga timu ya Simba FC ya Dar es Salaam kwa mabao 2-0 leo katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mabao ya Azam FC yalifungwa na mshambuliaji wao hatari kutoka Ivory Coast Kipre Tchetche na bao la Simba FC lilifungwa na Ramadhani Singano.
0 comments:
Post a Comment