Tuesday, September 10, 2013

WAHENGA WALISEMA "KAZI NA DAWA"

Kijana wa guta akiwa anasubiri mihogo kwa mama ntilie ili aweze kuanza kazi yake ya guta vema kama alivyokutwa na mpiga picha wetu leo maeneo Muleba-Mabibo.Ama kweli kazi na dawa.

0 comments:

Post a Comment