Kijana wa kimachinga akiwa na biashara yake mkononi mtaa wa Ohio Jijini Dar es Salaam,pamoja na kusema kuwa kazi ni kazi lakini Serikali inahitajika kufanya jambo la kisera ambalo litawawezesha vijana hawa kuwa na shughuli zenye kuleta tija kwa Taifa kama vile kilimo au ajira za viwandani badala ya kuzunguka na bidhaa za pipi mchana kutwa.
0 comments:
Post a Comment