Friday, August 2, 2013

HATARI HATARI BIASHARA KANDO YA RELI

Wananchi wakiwa wanapita katikati ya reli baada ya wafanyabiashara kupanga bidhaa zao karibu na mataluma ya reli maeneo ya Mabibo Relini.Reli hii kwa sasa imeshaanza kutumika kusafirisha abiria hapa Jijini Dar es Salaam.Hivyo tunawaomba wafanyabiashara kuheshimu sharia na kuacha kufanya biashara kando kando ya reli hii,maana ipo siku yaweza kutokea maafa kama Treni ikipotea njia.

0 comments:

Post a Comment