Sunday, March 10, 2013

UJENZI WA BARABARA YA MOROGORO KWA AJILI YA MABASI YAENDAYO KASI BADO UNAENDELEA KAMA UNAVYOONEKANA KATIKA PICHA


Gari la Kampuni ya Strabag likiwa katika shughuli za ujenzi maeneo ya Tip Top Manzese ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi bado unaendelea ingawa kuna usumbufu kwa watumiaji wa barabara hii kutokana na kufungwa kwa nia mbalimbali ili kupisha ujenzi. Blog yetu itaendelea kuwapa taarifa na hatua mbalimbali zinazoendelea katika ujenzi wa barabara hii.

0 comments:

Post a Comment